Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Da man himself. Kukiwa na picha ya Jembekillo hapo pembeni basi mambo kwisha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Raha ya ndoto uote kupata kitu ambacho uliamini hauwezi kukisogelea achana na kukipata.Furaha zaidi ni pale unapo jikuta umewaunganisha watu wenye uwezo wa kila aina na wakaishi kwenye level moja (Tukuyu-Koromije,Mbagala-Masaki),Mungu aendelee kumbariki zaidi
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] senkyu Godi hata kwa hiyo 40+
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…