Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa majina naitwa Ahobokile kanchumai Andindilile Asangaluisiye Mwanyila.
Samahani mkuu,usajili wa majina yako umekosewa.Katika majina yako hayo matano,matatu siyo ya kwetu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
inayosema kuwa tupo kama vitu visivyo na maana katika ulimwengu wa vitu visivyo na maana. Makusudi ya ulimwengu ni yapi? Hakuna. Makusudi ya uzima ni nini? Hakuna pia. Hata hivyo, kukosa maana kwa ulimwengu wa vitu kunahuzunisha, usijali, kwani kulingana na Rosenberg, huzuni yako si kitu ila mpangilio wa neva na kemikali ambao unaweza kuubalisha kwa dawa.
Kinyume na nadhalia na visa vya jinsi tulivyotokea hapa duniani,
 
mtazamo wa biblia unaendelea, hata leo kuwa wenye mantiki zaidi, wenye tumaini zaidi, na wenye maelezo yanayofaa juu ya chanzo na makusudi ya kuwepo kwa wanadamu (pamoja na upinzani usiokoma dhidi yake). Pamoja na kwamba kwa hakika inajumuisha mtazamo wa vitu – na hata kuusherekea - mtazamo wa Biblia juu ya ulimwengu hauishi kwenye vitu, kwani kufanya hivyo ingekuwa kama kutumia ipad kama ubao wa kukatia mboga.
 
Back
Top Bottom