Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

425c3e51760196550d631b6020cee2f1.jpg
 
kiendacho, ambavyo maji yalijawa navyo kwa wingi kwa jinsi zao” (Mwanzo 1:21 soma pia aya ya 24). Ingawa bila shaka Adamu alikuwa tofauti na nyangumi na kobe kwa namna nyingi, lakini alikuwa nafsi hai kama wao, nephesh hayah.
Kuelewa hivyo kunaweza kutulinda dhidi ya aina mbili za kuvuka mpaka. Ya kwanza, inaitwa duaslism inasisitiza zaidiupande wa kiroho na hata kutweza vitu vinavyoonekana kuwa ni viovu. Hata hivyo kuanzia Mwanzo na kuendele
 
ambapo Mungu aliona kuwa dunia iliyokuwa imekamilika ilikuwa njema sana (Mwa 1:13), Maandiko yanachukulia kuwa vitu vilivyomo ulimwenguni ni matokeo ya uwezo wake wa kuumba. Hata miili yetu, ingawa imeanguka, bado ni viumbe vya Mungu nab ado inahitaji kuheshimiwa hivyo: “Au hamjui ya kuwa mwili wenu ni hekalu la Roho Mtakatifu aliye ndani yenu, mliyepewa na Mungu? Wala ninyi si mali yenu wenyewe?” 1 kor. 6:19).
 
Dhana ya miili yetu kuwa miovu, tofauti na nafsi safi ya milele iliyonaswa katika mwili na kungoja kufunguliwa kwa hamu, ni ya kipagani ambayo inamgawa mwanadamu bila sababu, na kukana umuhimu wa kipengele nyeti na cha msingi cha ubinadamu wetu.
 
Dhana nyingine inayovuka mpaka ambayo ni kinyume na iliyotangulia, inakana upande wa kiroho kabisa (kama tulivyoona kwa Alex Resenberg) na kuhafifisha ukweli wote, ikiwa ni pamoja na kila kipengele cha binadamu, na kuvifanya si kitu bali molekyuli tu zinazojongea. Hii pia ni dhana ya kifalsafa au dhana ambayo inategemewa kwa sehemu kubwa na sayansi ya kisasa.
 
Back
Top Bottom