kuna utupu unaokera ambao ni yeye tu anayeweza kuujaza. Anapoujaza utupu huo kwa ndani, anakuwa kusudi hasa la kuishi kwetu, na furaha yetu hukamilika.
Kuwepo kwetu ni muujiza, na maisha yetu ni zawadi ya thamani kubwa (mwulize mtu yeyote ambaye anaupoteza). Na kama zilivyo zawadi zingine zote za thamani kubwa,
inatupasa kuipenda na kuitunza, ambapo ni pamoja na kufanya kila tuwezavyo kujenga na kudumisha vipengele vya kimwili, kiakili na kiroho, vya mwanadamu aliyeumbwa kwa mfano wa Mungu. Sisi tu mawakili wa
karama ya uzima. Hakuna zawadi nyingine ya thamani na kazi ya muhimu kuliko kuishi maisha ya afya tele ili tuoneshe heshima kwa Mwumbaji wetu, kuwatumikia wengine na kuwa na maisha kamili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.