Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Kama ulionekana umebeba mihogo,karanga mbichi,nazi,bakuli la supu ya pweza na mlonge[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ulienda cheza ndondo kapu niniho chi minh inabidi niseme ukweli tu
Kuna mashitaka kayaleta leoho chi minh inabidi niseme ukweli tu
Habari ya asubuhi kipenzi umeamkaje??[emoji23][emoji23][emoji23]hapo je au nianze tena?Unataka kuninyima nini?? Shikamoo yako mpelekee ho chi minh... Anza upya salamu yako
Kwani babe nanii yule ni kidenti?me nilijua yule mzee ndo kidenti[emoji125] [emoji125] [emoji125]Alinyapia ka dent kamoja hapa mtaani
Huyu mzee alikuwa kifungoni ametoka kwa dhamana tu anapenda dogo dogo sanaKuna mashitaka kayaleta leo
Enheeee[emoji101] [emoji101] [emoji101] [emoji101] weitaaaa nipimie bia ya sh.750.Harakaaaaho chi minh alikuwa anaogopa kuwaambia tu alikuwa wapi
Hivi vitu aliniagiza huyu mzee penda dogo dogoKama ulionekana umebeba mihogo,karanga mbichi,nazi,bakuli la supu ya pweza na mlonge[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ulienda cheza ndondo kapu nini
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Na uwanja akakosaKama ulionekana umebeba mihogo,karanga mbichi,nazi,bakuli la supu ya pweza na mlonge[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ulienda cheza ndondo kapu nini
Safi kabisa maana kuna siku alitaka nimuamkia nikamuuliza nini tunanyimana huko mbeleUnataka kuninyima nini?? Shikamoo yako mpelekee ho chi minh... Anza upya salamu yako
Kichwa anakamirisha kazi fulani kwa ajili ya kazi maalumu, muda mfupi atafika.Kichwa Kibaya umefufuka eeh?
Hatujambo mkuu
Nikipiga hii huwa inanifanya nizungumze na ww vizuri[emoji23] [emoji23] [emoji23]Bangi unayotumia tena asubuhi hivi si njema kwa akili yako[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkifanya hivo itakuwa vema sanaa...... karibuni kwa mchango
Uzi wa kijanja
Kwanini usingetumia bebi au hani?? Yaani hayo majina mawili huwa yanasababishaga mtaji wa maparachichi ukate[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Habari ya asubuhi kipenzi umeamkaje??[emoji23][emoji23][emoji23]hapo je au nianze tena?