carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Eeeeehhh kichwa[emoji30][emoji30][emoji30]Safi kabisa maana kuna siku alitaka nimuamkia nikamuuliza nini tunanyimana huko mbele
Eeeeehhh kichwa[emoji30][emoji30][emoji30]Safi kabisa maana kuna siku alitaka nimuamkia nikamuuliza nini tunanyimana huko mbele
Kweli kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji23] gonga likes na unapita kama ujaona
Hapo sasaKama ulionekana umebeba mihogo,karanga mbichi,nazi,bakuli la supu ya pweza na mlonge[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ulienda cheza ndondo kapu nini
mzee wa liver wakudeka ukimuona ISISKabisa mkuu tulikesha Siku za mwanzo Hahahahaha
09:5907:29
AMUN RA
Sijambo kabisa mkuu... za kwako?
Akhuu!!!
Numbisa ukujege hukuHahahahaha ngoja dr Numbisa aje atakupa majibu
Inasemekana et uliwekwa mahabusu kwa kosa la kunyemelea ka dentiKichwa anakamirisha kazi fulani kwa ajili ya kazi maalumu, muda mfupi atafika.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Basi kula like
Haya tuzungumze sasa[emoji6][emoji6]Nikipiga hii huwa inanifanya nizungumze na ww vizuri[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbona ulikuwa hutaki kusema kuwa ulikuwa kizuizini kwa kunyapia nyapia ka dent
Malengo yametia kwa kweliIngawa karibu member wengi wa uzi huu tunapenda siasa lakini tumefanikiwa kupafanya mahali hapa kuwa ukanda maalum usiyokubalina na mambo ya siasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Anatakiwa ajibu ili watu tujipange jinsi ya kuraruana nae
Mama TANZANIA