Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Baada ya kumsubiri huyu mzee asemr mwenyewe alikuwa wapi leo nitawaambiaEnheeee[emoji101] [emoji101] [emoji101] [emoji101] weitaaaa nipimie bia ya sh.750.Harakaaaa
Baada ya kumsubiri huyu mzee asemr mwenyewe alikuwa wapi leo nitawaambiaEnheeee[emoji101] [emoji101] [emoji101] [emoji101] weitaaaa nipimie bia ya sh.750.Harakaaaa
Hata nyuma kama kapo ka kuegeshea mkono tukiongozana...Safi kabisa maana kuna siku alitaka nimuamkia nikamuuliza nini tunanyimana huko mbele
We unakunywa ile mzizi ya mironge tu
Wewe ni rafiki wa karibu na twanywa gahawa pamoja pia tabia zetu zinarandana.Huyu mzee alikuwa kifungoni ametoka kwa dhamana tu anapenda dogo dogo sana
Leo utasema ukweli woteHivi vitu aliniagiza huyu mzee penda dogo dogo
Mzee wa kidneyKahawa ni muhimu sana kwa afya yako
Sijui ndo huyo...itakuwa ndo huyohuyoYule mjasiriamali mfugaji?
cocochanel dada yangu shikamoo
Nzuri mkuu jumatano iko poa
Kalifukua mwenyeweee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Eeeeehhh kichwa[emoji30][emoji30][emoji30]
Pamoja mkuu karibu tena hapa ni homeBaadaye natoka kitambo hivi
Inasemekana huo mzigo alikubebea wewe ukacheze ndondo kapu ila bahati mbaya ukakosa uwanjaNishawaambia tangu nilipokuona una kiasi kikubwa cha karanga mbichi,nazi kavu, mihogo mibichi, pweza na kitu kingine sina uhakika ni majani fulani hivi inawezekana mlonge huo.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Bebi unaionea bure mzee mwenzangu,Kwanini usingetumia bebi au hani?? Yaani hayo majina mawili huwa yanasababishaga mtaji wa maparachichi ukate[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hivi kwanini unapenda dogo dogo sana
Hilo ndio lengo la salamu
Mimi situmii natumia vyakula vya asili tu
[emoji101] [emoji101] [emoji101] [emoji101] [emoji101] [emoji101] [emoji101]Baada ya kumsubiri huyu mzee asemr mwenyewe alikuwa wapi leo nitawaambia