mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Morning uniqMorning all
Morning uniqMorning all
Wee mzee wewee[emoji23][emoji23]Hata nyuma kama kapo ka kuegeshea mkono tukiongozana...
10:0908:41
Hahahahaha piga Kazi mkuuUkisikia notfication ujue nimefika kwako
ni njema bwosss sijui ww mtu mzimaMwenyekiti high IQ habari yako boss
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hadi nimeishiwa pozi yaniKalifukua mwenyeweee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sasa mzee mwenzangu tatizo hapo kwenye dogo dogo hapanaWewe ni rafiki wa karibu na twanywa gahawa pamoja pia tabia zetu zinarandana.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama ilivonifikia
uniq liked your post[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Manyoya tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bebi unaionea bure mzee mwenzangu,
Manyoya ya kifuani yashakuwa meupe bado wahitaji kuitwa bebi dah
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Madenti walikuwa wawili kwa bahati mwenzangu aliwahi kuwaona askari mapema kaniaga kuwa atarejea muda mfupi,Inasemekana et uliwekwa mahabusu kwa kosa la kunyemelea ka denti
carbamazepineHata nyuma kama kapo ka kuegeshea mkono tukiongozana...
10:1208:44
AMUN RA
Hapana huwa anatoa nywele zote sema anawakamata sana kwa hizi gari za kuazima tu watoto wanapagawa sanaKwani nywele zake zimeanza kuota?
ISISNita rudi na malike
Andjul mzee wa misa.....Hahahhahha Andjul
Huwezi amini, hadi anaingia Mbezi mwisho ni mgumu kishenzi,kosa ni pale akifika taa za Morocco anabadilika ghafla...anapiga kaptula ya kuteleza,raba mtoni,limtisheti kuuubwa na kofia ya Nike huku mkononi ana dunda dunda mpira wa kikapu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mzee wa iniiiiiiii unaenda wapiiiiii? Kwa ISIS beibi yu noo...kwisha habari yake[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mzee wa liver wakudeka ukimuona ISIS
Pamoja na kuwa mgumu hivyo ila ukifika masaki ubabe wote kwisha
Kwahiyo yule mtema kuni ni polisi au hako ka denti?Madenti walikuwa wawili kwa bahati mwenzangu aliwahi kuwaona askari mapema kaniaga kuwa atarejea muda mfupi,
Kumbe kaniachia matatizo!
Lakini katumia pesa nyingi kunitoa huko.
Na bado anaendelea na mchezo huo pamoja na kuwa na wake watatu.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Na kwakoSiku njema wana jf