Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nishawaambia tangu nilipokuona una kiasi kikubwa cha karanga mbichi,nazi kavu, mihogo mibichi, pweza na kitu kingine sina uhakika ni majani fulani hivi inawezekana mlonge huo.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Hivi vitu ulisema ukitoka kifungoni uvikute kwako sasa nimekuletea naona mzee mwenzangu unadanganya hadhira
 
3ef64e532fb05536172d1214da006065.jpg
 
Inasemekana huo mzigo alikubebea wewe ukacheze ndondo kapu ila bahati mbaya ukakosa uwanja
Asiniangushie jumba bovu!
Kuna waliomuona akitembelea maeneo ya bar tofauti tofauti akiwa na mzigo wake inawezekana alikuwa akitafuta wabia lakini hakupata nadhani

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom