Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Wakuu Habari zenu
CantstopwontStop
CantstopwontStop
Hanitakii mema huyu mzee,achana nayeManyoya tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Cc:mzee wa tukuyu aka bilionea wa maparachichi
Asante dr Numbisaposition.Kuna wakati mwanammke anaweza kuwa amelala chali,Kwa coincidence kama hio ili FOREHEAD KISS YAKE ilete maana utamkiss kwenye paji la uso huku ukimgusa gusa nywele na sio mbaya ukipitisha kidole kuzunguka sikio lake. FOREHEAD KISS nzito inapendeza ikiwa Mmekaa,Mmelala au mmeegemea ukuta then ukamlaza kifuani,Then ukawa unachezea nywele then una mkiss kwenye paji la uso. Kitendo cha kumkiss kwenye paji la uso mwanammke baada ya Sex kinabeba sense ya ubinadamu mkubwa sana.Kinaonyesha ni kiasi gani unathamini utu wake na sio SEX Pekee.Kuna baadhi ya wanawake hujisikia weak baada ya sex,Unapombusu kwenye paji la uso unamtengenezea mazingira flani ya kujisikia

Nataka azungumze mwenyewe mapema ho chi minh zungumza kwanzaInaelekea unajua mengi kumhusu huyu mchina na alikokua
Hebu tupe habari[emoji101] [emoji101]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe yupo eehAnakuona ujue[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
10:2909:00
AMUN RA
Judge number 54
UNIVERSES are on my side forever
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kuna vitu unataka kunibania siku za usoni si kwa salamu ya siku ile
Watatu??sammyluv,GeJo,car.....ngoja nikumbuke vizuri zile pete za visodaMadenti walikuwa wawili kwa bahati mwenzangu aliwahi kuwaona askari mapema kaniaga kuwa atarejea muda mfupi,
Kumbe kaniachia matatizo!
Lakini katumia pesa nyingi kunitoa huko.
Na bado anaendelea na mchezo huo pamoja na kuwa na wake watatu.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Hamna namna ndio maana napotea mie[emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22]Basi endelea kufa na tai shingoni[emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo mzee wa kuliamsha dude[emoji28][emoji28][emoji28]Ulipiga kahawa na mlonge du unataka kuua
Kumbe una manyoya doooh[emoji30][emoji30][emoji30]Kwani na kichwani nako nyeusi? Hayo manyoya huwa nanyoa kuutafuta ujana.Ubunifu muhimu...
Muulize kosa lake akikujibu nitagAlikuja kusema alikiona cha mtema kuni hakufunguka sana
Mkono[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nini tena,nimekugusa na nini?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nakusalimia babes[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aisee
CantstopwontStop
Hongera mkuu kwa ubunifu huo lakini sura itaonesha tuKwani na kichwani nako nyeusi? Hayo manyoya huwa nanyoa kuutafuta ujana.Ubunifu muhimu...
Huyu mzee ana hatari sana.Gari yake ni kama aliiuza eti?Hapana huwa anatoa nywele zote sema anawakamata sana kwa hizi gari za kuazima tu watoto wanapagawa sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mazoezi nafanya pekeanguHuyu mzee baada ya kuwa kizuizini alitaka akitoka kwa dhamana afanye maangamz sijajua hiz ni silaha zake.
Mm kma unavyojua huwa sitegemei hv vitu huku ni physical exercise zang za jion na asubuh ulikimbia[emoji23] [emoji23]
We acha tu naona hata vitatengeneza list wakt kila kitu kinafasi kubwa sanaTaja vyote basi[emoji38][emoji38]