Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Asiniangushie jumba bovu!
Kuna waliomuona akitembelea maeneo ya bar tofauti tofauti akiwa na mzigo wake inawezekana alikuwa akitafuta wabia lakini hakupata nadhani

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Mzee mwenzangu huku kibiti kwa shughuli ninazofanya na vyakula vya huku hivyo huwa mnatumia ninyi huko
 
c6160eda545a617ab08b24df9a71c881.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
Decoration nzuri sana
 
Huwezi amini, hadi anaingia Mbezi mwisho ni mgumu kishenzi,kosa ni pale akifika taa za Morocco anabadilika ghafla...anapiga kaptula ya kuteleza,raba mtoni,limtisheti kuuubwa na kofia ya Nike huku mkononi ana dunda dunda mpira wa kikapu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mzee wa iniiiiiiii unaenda wapiiiiii? Kwa ISIS beibi yu noo...kwisha habari yake[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kweli hamna mkate mgumu mbele ya chai
 
Back
Top Bottom