Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huyu mzee ana hatari sana.Gari yake ni kama aliiuza eti?
fa6b992e6ee800d7c42af47c0618084a.jpg
Gari sijauza ndo nakamirisha kuipiga rangi ya mafuta,
Nimeamua kupiga mwenyewe kwa brash ya mkono.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Madenti walikuwa wawili kwa bahati mwenzangu aliwahi kuwaona askari mapema kaniaga kuwa atarejea muda mfupi,
Kumbe kaniachia matatizo!

Lakini katumia pesa nyingi kunitoa huko.
Na bado anaendelea na mchezo huo pamoja na kuwa na wake watatu.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Tatizo we mzee hutaki kupitwa na muda pamoja na mafanikio yako yote kuanzia ujana.

Ila bado damu yako ya moto kwa majirani na watoto wao.
 
Back
Top Bottom