andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Guudi...endelea mkuuBaada ya kumsubiri huyu mzee asemr mwenyewe alikuwa wapi leo nitawaambia
Guudi...endelea mkuuBaada ya kumsubiri huyu mzee asemr mwenyewe alikuwa wapi leo nitawaambia
Taja vyote basi[emoji38][emoji38]Teh teh teh vitatu vichache nitaumia maana kwako kila kitu kinaumuhim mkubwa sna kwng
Anakuona ujue[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sijui ndo huyo...itakuwa ndo huyohuyo
Kuna vitu unataka kunibania siku za usoni si kwa salamu ya siku ileEeeeehhh kichwa[emoji30][emoji30][emoji30]
Poleni Mungu amfanyie wepesi kwakweli[emoji120][emoji120]usichoke kuombaNi heri ya jana kila siku inavyo enda. Ni tatizo kubwa,maombi tu...
Waambie leo tu nini kilikusibu maana sijazungumzia kuhusu yule mke wa jirani yako
Ulipiga kahawa na mlonge du unataka kuuaSalama kabisa
Karibu tupate kahawa halafu tumalizie na mlonge
Kwani na kichwani nako nyeusi? Hayo manyoya huwa nanyoa kuutafuta ujana.Ubunifu muhimu...Bebi unaionea bure mzee mwenzangu,
Manyoya ya kifuani yashakuwa meupe bado wahitaji kuitwa bebi dah
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Alikuja kusema alikiona cha mtema kuni hakufunguka sanaho chi minh huyo mzee kaa mbali unadhani alikuwa wapi kipndi kile hafu anaogopa kusema
Basi endelea kufa na tai shingoni[emoji23][emoji23][emoji23]Ulimi unakuwa mzto kuzungumza hapa mbele ya kada mnaz mamii
Nini tena,nimekugusa na nini?[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wee mzee wewee[emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huwezi amini, hadi anaingia Mbezi mwisho ni mgumu kishenzi,kosa ni pale akifika taa za Morocco anabadilika ghafla...anapiga kaptula ya kuteleza,raba mtoni,limtisheti kuuubwa na kofia ya Nike huku mkononi ana dunda dunda mpira wa kikapu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mzee wa iniiiiiiii unaenda wapiiiiii? Kwa ISIS beibi yu noo...kwisha habari yake[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huyu mzee baada ya kuwa kizuizini alitaka akitoka kwa dhamana afanye maangamz sijajua hiz ni silaha zake.Eeehh kumbe
Mkiwa wawili mnajiachia sana.Cole mwenyewe ndio vile...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hadi nimeishiwa pozi yani
Inaelekea unajua mengi kumhusu huyu mchina na alikokuaSio dent ni vident mtaani wamemtenga huyu mzee.
Hata kwenye shughuli za kijamii.
Sijui anatumia nini huyu kuvikamata vitoto
Unachambua matatizo eti eeh?Sasa mzee mwenzangu tatizo hapo kwenye dogo dogo hapana