[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huyu mzee ni shiiidaMwanzo alipaka rangi ya maji na chokaa.
Saivi ameipaka rangi ya mafuta
Ile hirizi uliyomeza ni kwa ajili ya nini?Mimi bado maendelea si unajua ndio jadi yangu.
ho chi minh na andjul ndio wanategemea vitu vyao vile[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sio kweli.Namjua yule hawezi kufanya hivyoMasikini pole sana,mana zile siku mbili ulizopotea alikuja kusema yuko kibiti na alituma salamu kupitia kibiti fm na dedikesheni ya wimbo iende kwa yule bwana mwenye kichwa kibovu dooh![emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Hapana mkuu,Nasikia kakimbia
Wewe uniq kweli hupajui alipokuwa ho chi minh? au ulimfunga kitambaa usoni mlipomchukua?Salama Kaka ulipotea humu ndani mpaka mimi na mama watoto tukapewa kashfa
Neeendaaaaa[emoji22][emoji22][emoji22]nisikuulize nini tena?
Basi acha niondoke tu[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Mwambie huyo mi nilikuaga kabisa bibie huyo alitembea kucha si unajua askari wetuHii stori yenu ya leo mmh
Inaelekea mlikuwa wote mahabusu kwa kesi moja ila wewe ukawahi kutoka kwa dhamana yeye akabaki
Endelea kumwaga ubuyu nipate stori kamili
Tatizo askari walituweka sero moja na vile vibinti.Alikuwa korokoroni
Jamaa mmemtoa kucha bila ganziSalama Kaka ulipotea humu ndani mpaka mimi na mama watoto tukapewa kashfa
Huyo mzee anatuhuma nyingi sana pia alikuwa anajifanya mganga wa kuwatafutia mvuto wadada sijui amaeishia wapiKakimbia tayari
Mguu upi[emoji22] [emoji22] [emoji22]Mguu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]