carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Heeeee kambale tena?ngozi ka nyoka??[emoji20][emoji20][emoji20]Sina kabisa,alivyo kambale ndivyo ngozi yangu ilivyo
Heeeee kambale tena?ngozi ka nyoka??[emoji20][emoji20][emoji20]Sina kabisa,alivyo kambale ndivyo ngozi yangu ilivyo
Yeye mwenyewe anajuaUmemjibu vyema kabisa,
Nini Sababu ya swali hilo?
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Mwanzo alipaka rangi ya maji na chokaa.Huyu mzee ana hatari sana.Gari yake ni kama aliiuza eti?![]()
Njema carba hujamboHabari ya asubuhi wakuu
Nzuri mkuuWakuu ya habari asubuhi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mimi bado maendelea si unajua ndio jadi yangu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mazoezi nafanya pekeangu
Masikini pole sana,mana zile siku mbili ulizopotea alikuja kusema yuko kibiti na alituma salamu kupitia kibiti fm na dedikesheni ya wimbo iende kwa yule bwana mwenye kichwa kibovu dooh![emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Sio kweli,hakuenda huko na pete hakuvalishwa.Ila alinisumbua[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sijambo kabisa,sijui weweNjema carba hujambo
Ila yana madhara yakeManeno hayo tu hata kwenye khanga yapo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hii yote kutokana na kukushauri uanze kukaa mbali na yy sana anataka urafiki wetu uishe mzee mwenzanguMke wa jirani yangu alinifuata kuniomba nikufikishie ujumbe uache mara moja kumpigia simu hasa nyakati za usiku.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]et andjul ni kweli haya??Mimi bado maendelea si unajua ndio jadi yangu.
ho chi minh na andjul ndio wanategemea vitu vyao vile[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ngoja aondoke Cole,usiniulize kituWewe mwenyewe sikuelewi
Akigoma kusema yote hapa utayapataWe mwaga ubuyu huo bhana[emoji38][emoji38]
Hewalaa,Na hii ndio inakupa kiburi kwenye kunyapia nyapia
mzee wa liverManeno hayo tu hata kwenye khanga yapo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji102]Jipe moyo baba kuna amun ra zimerudi kwa herufi ndogo shauri yako[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Nasikia kakimbiaAnajifanya haoni maswali et
[emoji22][emoji22][emoji22]nisikuulize nini tena?Ngoja aondoke Cole,usiniulize kitu