Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Masikini pole sana,mana zile siku mbili ulizopotea alikuja kusema yuko kibiti na alituma salamu kupitia kibiti fm na dedikesheni ya wimbo iende kwa yule bwana mwenye kichwa kibovu dooh![emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Shimba amesema aseno ikianza kushinda ataihama maana amesha yazoea maumivu ya kufungwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] acha tuu shemeji. Ila Yanga sio kama aseno (wazee wa stress)[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
We unadhani kwanini anapenda jibapa sana.[emoji23][emoji23][emoji23]et andjul ni kweli haya??
myoyambendi heshima yako mkuu11:00
Gari la kichwa toyota carat T 027 AAA.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huyu mzee ni shiiida
Unakuwa sio mrefu,anavyotembea anakimbilia mwilini kujishikiria
Kwahiyo ile biashara yako ya kuwatafutia wadada mvuto kwa kujifanya we mganga imekuwaje??Hewalaa,
Gari langu hili linanibakiza mjini mkuu,
Watu wanafikiri nina pesa nyingi ngoja nikuambie lakini iwe siri yako,
Naongea kwa sauti ya chini,
Muzee ya batoto hali yangu kiuchumi ni....ni...niii
Hakuna mtu hapo jirani yako?
Basi sawa,
Sina pesa kabisa kwa sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji56] [emoji56] [emoji56]
Ngoja nikajaribu hiyo mirinda nyeusi[emoji124] [emoji124]
We nenda tu huko na usirudi.Muwe na siku njema wapendwa
Nakuwa navyo kwa ajili ya biashara tuWe unadhani kwanini anapenda jibapa sana.
Fatilia vizuri hakosi karanga na mihogo mibichi
asante.. pamoja sana mkuumyoyambendi heshima yako mkuu
Kila nikiona hiyo picture
Hiyo kazi ilinilipa sana mkuu,Huyo mzee anatuhuma nyingi sana pia alikuwa anajifanya mganga wa kuwatafutia mvuto wadada sijui amaeishia wapi