AMUN RAAMUN RA
Huyo mzee anataka kwenda na wakati kumbe amepitwa na vitu ndio maana anavaa miwani inafunika hadi mashavu
Hapana mkuu,Atakuwa amehamishia makazi humo
Acha tu nimeuza hadi kashamba kangu ka matikiti maana alikuwa anaenda kupotea huyuAlikuwa korokoroni
Kulikoni tena mzee mwenzangu huyu anajipenda kweli kutuletea hizi tuhumaKichwa na ho chi minh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Seat za nyuma zimebaki vyuma tu ameweka mfuko wa mihongo mibichi na karanga nusu gunia.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huyu mzee ni shiiida
Kweli umetoka korokoroni hadi umeanza kusahau sahau na kuchanganya mafile andjul ndiye alimeza hirizi ilikulinda zizi lake
ho chi minh alikuwa sehemu anaogopa kusemaWewe uniq kweli hupajui alipokuwa ho chi minh? au ulimfunga kitambaa usoni mlipomchukua?
Sent using Jamii Forums mobile app