Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

nakupenda sana toka moyoni mwang hakika mahaba yako toka siku ta kwanza nilivyoyaona na namna ulivyonipa hakika umekuwa kielelezo kikubwa sana ndan ya moyo wangu, fahar yako ni kubwa zaidi ya mlima kilimanjaro, unavutia wengi zaidi ya south ocean beach, sitakuchoka daima kama pumzi nivutayo. Wanipa raha sana kama nipatapo usingizi juu ya kitanda aafi cha sufu, kila nikikuwaza nataman uwe karibu yangu kama jua wakati wa mchana na giza wakati wa usiku, sio mzembe wa kunijulia hali kama samaki na maji, nafurah kuwa pamoja nawe kama paa naxwanawe karika msitu ambao simba wote waliaga kuwa wanaenda safari, pumz yako unapoongea nafurah kama kiyoyozi kipulizacho wakati wa kiangazi, unanipa faraja ya maisha kama masika inapoanza kwa mimea yote iliyoko dunian huweza kuchipua na kuanza maisha tenA.....oooooooh i real love love definetly love with a very great absolute love youu my country i will never be taken to an exile and leav you alone but i will stay together, suffer together, play together,eat together, share each and everything together hopefully i know at the end we shall die together.


One love my country TANZANIA

Sent using Jamii Forums mobile app

 
Back
Top Bottom