Naamsha kichwa,nimechoka kuinama.Namuamshia yanga na simba. Nataka niione mechi yao[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unataka kuamsha nini?ukamuamshie nani?na kwanini??
Akikujibu nitag[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Ukimaliza hiyo tathmini ya mlonge leta mrejesho sawa eeeh
AMUN RA
Hahahahaha mchina hovyo sanaNa wewe uneanza kuitika hivyo??
Cc:mzee wa ini
Mzee wa LiverBlessed Wednesday afternoon
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mirinda nyeusi bhanaWewee ushawahi kunywa fursana wewe[emoji23][emoji23][emoji23]
HahahahaHahahahaha mchina hovyo sana
Kasema yeye ataandika kwa herufi ndogo kunipa heshima mimi
Swalama kabisa mkuu Muzee ya iniHabari za mchana huu jakitoo
Mpka za ndani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Waarabu wa pemba hao,wananifurahisha wakianza kutoleana siri zao
Ni kweli wale nyuki hawang'ati ila wananyonyaaaa pumba[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimempa tahadhari mzee wa ini kasema huyo ni nyuki wa mashine hana madhara nasubiri ang'atwe tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Itakuwa Majukumu yamemkaba ila nahisi muda sio mrefu atakuwa hapaMkoromije yu wapi leo??
Ndio maana nakupenda my princess wewe ni Genius umejuaje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe eeh
Cc:nyuki wa mashineni wale wa kuitikia na herufi ndogo
NimeonaUmeiona hiyo?
NimeonaUmeiona hiyo?
Ushakwepa swali ngoja nikagugo narudi kuuliza [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Haya niulize hilo swali shemeji.Ila lisiwe la matokeo ya mlonge baada ya kuutumia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] karibu...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Et inasemwkana wanaoitikia amun ra za herufi ndogo ni nyuki wa mashine ndio mana bwana yule hana wasiwasi[emoji23][emoji23]