Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mzee wa ini[emoji351]
ISIS [emoji351]
SHIMBA YA BUYENZE[emoji351]
Carba...[emoji351]
Cole williams[emoji351]
Bob12[emoji351]
Rutashubanyuma[emoji351]
Numbisa[emoji351]
Andjul shemeji[emoji351]
Modgaulf[emoji351]
Alibakari[emoji351]
kichwa kivhafu[emoji351]
BAK[emoji351]

Na wengine [emoji351][emoji351][emoji351]
Very impressive
Shemeji langu la ukweli.

CantstopwontStop
 
Madenti walikuwa wawili kwa bahati mwenzangu aliwahi kuwaona askari mapema kaniaga kuwa atarejea muda mfupi,
Kumbe kaniachia matatizo!

Lakini katumia pesa nyingi kunitoa huko.
Na bado anaendelea na mchezo huo pamoja na kuwa na wake watatu.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Hahahahaha hatari sana
 
Huwezi amini, hadi anaingia Mbezi mwisho ni mgumu kishenzi,kosa ni pale akifika taa za Morocco anabadilika ghafla...anapiga kaptula ya kuteleza,raba mtoni,limtisheti kuuubwa na kofia ya Nike huku mkononi ana dunda dunda mpira wa kikapu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mzee wa iniiiiiiii unaenda wapiiiiii? Kwa ISIS beibi yu noo...kwisha habari yake[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mzee wa Tukuyu ni shida sana wewe
 
Back
Top Bottom