mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Waarabu wa Pemba nyieKuhusu vile visichana ni kweli.
Ila ulinipa kale ka usafiri niwafate na kuwaleta pale ila nilikuwa sijui wewe ulikutana nao wapi sasa ikabidi nikuache uendelee na mission yako maana ulikuwa muda wote pale unatafuna karanga mbichi tu