mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Utani mwingi
Mimi nataka nimfuate muzee ya buyenze ila stress za hapo sasa dooh [emoji134] [emoji134] [emoji134]Mimi Liverpool
Nilisema ukinifungia chumbani na mrembo usisahau kuweka karanga mbichi kwani nitakula karanga wakati huo huo naongea na mremboEeh na karanga kasema anapenda kujifungia chumbani na warembo huku anakula karanga
Uliza tu shemeji yangu...filu ati homu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naomba uniassist kumuuliza maswali
CC. Andjul...... carba utakuwa naye kwa muda ,bado nipo njiani
Kaja yupooMsalimie sana
Mwambie afafanue vizuri tuEeehh enhee[emoji101] [emoji101] [emoji101] [emoji101] hebu endelea kidogo,ukishaamsha kichwa inakuwaje tena
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] milonge haijawahi kumwacha mtu salamaMkuu, bado unajisiriba na mijibapa nini? Mbona umekaa kishari shari hivyo kwa shemeji yangu? Au ni side effects za milonge?
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] Badilisha hilo neno la kuny...nshajichokea naondoka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wanafanyaje
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mkoro... kesha kuja sitaki matatizo mimi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haitatokea I know my loveJiandae kuvunjiwa zizi[emoji23][emoji23][emoji23]
Nishafika shemeji. Nafurahi kukukuta. Jana usiku KK na huyu mzee wa Tukuyu walikuwepo wanakuteta teta. Nilitamani machale yakucheze uamke uwachachafye kama unavyowachachafyaga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Msalimie sana