chakula hakiwezi kasilikia mdomo wenye meno unao king'ata kikiingia mdomoniHuwezi kuuadhibu mdomo kwa kuunyima chakula!
Kaona kunoga kweli huyu dada... KanogewaLinda mzigo wako ipasavyo![]()
Yop40k...40k...40k....tukimbize
kanogewe na like zetu ...Kaona kunoga kweli huyu dada... Kanogewa
Xuiitcn
Tell me ma bebe,...
na mvua haitokuwapo kama mawingu hakuna....Kama hakuna mawingu, hakutakuwa na mvua!
SawaHaitatokea kupoa labda mod wakimbie na kitufe cha like
Mtu asiyejua kuogelea huwa haanzishi ugomvi katikati ya mto!
Basi mie nimekupa like kapu zima...kalete na sandarusi nikujazie zingineLeo sina utulivu kabisa like zinanipita tuu
Subiri ugongwe na weweTayar mkuu nimegonga like