Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mtu asiyejua kuogelea huwa haanzishi ugomvi katikati ya mto!

Ha ha ha, kuna kichekesho kimoja cha msomi na nahodha wa boti.

Prof alimkodi jamaa amvushe kwenda ng'ambo ya pili, wakati wako safarini anapiga makasia, prof akamuuliza jamaa kama anajua kusoma na kuandika, jamaa akajibu hapana, prof akamwambia, "You are as good as dead".

Mara ikaibuka dhoruba, mawimbi yakaanza kuja kwa kasi, ikabidi nahodha wa boti amuulize pro kama anajua kuogelea, prof akasema hapana, jamaa akamwambia, "You are dead".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…