Bob12
JF-Expert Member
- Feb 27, 2017
- 11,422
- 58,790
HahahahaMtu salama? Juzi tu hapa ulikuwa unaulizia milonge. Milonge na mtu salama + upako wapi na wapi?
milonge inanipa nguvu,inanifanya kuwa active muda wote na faida nyingi ikiwemo kuwa na mawazo chanya kama haya yakutaka kuokoka