Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahah
unajua mtu anapotaka kuifata njia iliyo salama kukatishwa tamaa ni jambo la kawaida
Hujakatishwa tamaa. Unatanabaishwa tu. Na si njia salama zote kweli ni salama. Nina wasiwasi sana na njia salama yako. Ama hujajiandaa na safari au ni njia feki. Bakia tu uendelee kuvamia mazizi na kutapanya wanakondoo wasio na mchungaji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…