Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahaha
mimi ni mtu salama kabisa,nakula milonge hapa
 
Saratani ya utumbo
Kwa mujibu wa takwimu za dunia, saratani ni ugonjwa unaoongoza kwa kusababisha vifo miongoni mwa yasiyoambukiza. Ni wa pili kwa kufanya hivyo pia kati ya yote.
Kwa watu wenye zaidi ya miaka 50 wanashauriwa kufanya kipimo hiki haraka ili kuchukua hatua stahiki mapema kabla madhara yake hayajawa makubwa.
 
Kipimo chake kiitwacho colonoscopy hakina maumivu na huchukua kati ya dakika 15 na 20 kutoa majibu yanayotakiwa. Habari njema ni kwamba, kipimo hiki kinaweza kugundua saratani hata ikiwa katika hatua zake za awali kabisa na matibabu yakafanyika.
 
Msongo wa Mawazo
Maambukizi ya saratani ya ngozi au melanoma yameongezeka kwa kasi ndani ya miongo minne iliyopita. Ni miongoni mwa saratani zinazowashambulia zaidi wanaume. Kabla ya miaka 50, wanawake wengi hupata maambukizi ya saratani hii lakini baada ya miaka 65 hali huwa kinyume chake, wanaume hupata maambukizi haya zaidi kuliko wanawake. Baada ya miaka 80, wanaume hupata maambukizi mara tatu kuliko wanawake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…