Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Niko kote lakini sana hapa kuna upendo hapa tena wa hali ya juu sana, ila siasani lazima nizuke hasa wakati huu Watanzania wengi tuna hofu kubwa sana kutokana na kauli na matendo ya bwana yule. Nchi yetu inaharibika machoni mwetu.
Ni kweli kabisa me staki ata kumskia bwana yule ...ngoja nieke makazi hapa kwenye upendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…