bily
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 8,029
- 5,815
Siku hizi nimekuwa eti zamani nilikuwa napigwa ban kila dakika alafu Ids nilikuwa nazo kama sita unaweza kuta tano zimekumbwa na ban. Ila sasa utoto nimeacha nimebaki na ID moja tu hii pia naubiri amani ndani ya jukwaa letu hili pendwa la JF.Hata sasa ukiwakorofisha unatandikwa ban usiku huu wa manane !!!