Aisee hili hata mimi nilikuwa siliamini, lakini sasa hivi naamini tena mabinti warembo sana, upstairs imetulia lakini hawana njembas. Hapa nasemea nchi yetu Mkuu. Nawaona warembo wenye uwezo wao wanasafiri ndani na nje ya nchi ili kupata dushe tu na wengine wapewe ujauzito! Ni ngumu kuamini Mkuu lakini ndiyo hali halisi sijui sababu ni idadi ya warembo kuwa kubwa kuliko njembas au ni sababu zipi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.