mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
31k hahahahaha
[emoji16] [emoji16] [emoji16]Tumuandalie cheti cha kuonesha appreciation & acknowledgement of his initiatives in LIKES giving.
Kuna kale kamsemo kwamba adui wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe. Mchora katuni nadhani ndo ujumbe wake huo...Ushindwe!
babe S: mamboPole we! Naona umerudi utapata za kutosha Hamna hiyana hapa
Nasi pia tulikumiss sana for real!dah siku 2 niliwamiss sana jaman i love all but thanks ISIS, Jembekilo,bbade,numbisa,mbillwa na wengine wote ....
Karibu[emoji6] [emoji12] [emoji6] nimerudi ndugu...
Rudi kamanda. Au kamata hiyo likes ya mwisho kabla hujaondoka!Kwaherini wazee wa likes.....
Daa asee jamaa hawafaiKibiti washafanya yao[emoji24] [emoji24] nawaza hii sikukuu daah
Hahahha! Umeona eeeh!?Nimerudi speed, khaa uzi unatembea kwa kasi