Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Saratani ya kinywa na koo na magonjwa yanayohusiana na mfumo wa chakula pia huweza kusababisha harufu mbaya ya kinywa. Vilevile, kuna watu ambao hupata tatizo la tindikali ya tumboni kuja kwenye koo na kinywani (gastroesophageal reflux disease, GERD) nao wanaweza kupata tatizo hili.
 
Hii kitu love ndo mana siku hizi siiamini kabisa.
Broken hearted men are harder to fall in love twice
Aaaa wapi. Nakuangalia tu. Mwepesi ka karatasi. Probably haven't learned your lessons properly [emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
 
Matibabu

Ili kuondokana na harufu mbaya ya kinywa, jikinge usipate matundu kwenye meno na jizuie na magonjwa ya fizi kwa kufanya vizuri usafi wa kinywa.

Kwa ujumla matibabu ya harufu mbaya ya kinywa hufanywa kwa kuishughulikia sababu hiyo endapo daktari atagundua kuchangiwa na ugonjwa fulani bado ataagiza utibiwe maradhi hayo kwanza.
 
Kuna mambo muhimu yanashauriwa ili kupunguza uwezekano wa kuwa na harufu hii. Wataalamu wanaagiza kupiga mswaki meno ulimi walau mara mbili kila siku, asubuhi baada ya kula na usiku kabla ya kwenda kulala. Mara baada ya kufanya hivyo, unapaswa kusukutua kwa dawa maalumu za kufanya hivyo (mouthwash).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…