Kali sana sema may weather anaboa,mapambano yake yote yanafanyika uwanja wa nyumbaniKali
Hawa watoto acha kabisaTeh teh teh!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Shauri yako ukienda mtoni,huyo mkoro...usimuamini kabisa.Wewe nenda mtoni yeye anaenda kwenye li soko anazungusha macho tu.Za kuambiwa??? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Hata sijui nilimaanisha nini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimesahau.... Ila kwetu mvua hainyeshi kabisaaa... Cheza nalo hilo jibu ukilipata