Wa kiwango, they need to take it seriousMasikini. Nchi yetu si shwari tena. Tumecheza cheza na amani hii kwa muda mrefu sana. Mungu Apishie mbali huko. Na hawa wanaofanya haya inaonekana ni professionals kabisa...
Teh teh[emoji3] [emoji3] [emoji3]Ushindwe!
Hayo ndio mambo, ...vepeeeee hizo LIKES......Haya sasa hizoooo
Asante, gonga like kiongoziKaribuu
Hakimtoshi maana anavitambi viwili [emoji32] [emoji32] [emoji32]Hicho chakula hakimtoshi!
Hakimtoshi maana anavitambi viwili [emoji32] [emoji32] [emoji32]Hicho chakula hakimtoshi!
Na haya mambo yanaanzaga hivi hivi pole pole. Hawa jamaa wako trained na si ajabu ni ex military commanders. JWTZ waende wakapige kambi huko kungali mapema!Hii inaweza kutupeleka mbali tusipo angalia
[emoji23] [emoji23]Huo unaitwa msambandwa wa mbeleeee
Asante sana kiongozi, mwendo uleuleWaleykum salaam,karibu