Upo babe sNi nzuri...
Ulikuwa wapi kiongozi? Karibu tena mwendo ni uleule like za kumwagadah siku 2 niliwamiss sana jaman i love all but thanks ISIS, Jembekilo,bbade,numbisa,mbillwa na wengine wote ....
Mzee wa liverNimerudi nawapa like like
Wameua trafik na gar wamechoma moto[emoji24] [emoji24]Kuna nini Kibiti jamani? Mauaji mapya au?
Hakuna namnaNaona mauaji bado yanaendelea kibiti
Hawa jamaa wakipatikana Mkuu atatamani walowekwe kwenye tindikali. Hawafai.Wa kiwango, they need to take it serious
Sidhani hata kama alie uanzisha aliwaza utakuwa hivi.Huu Uzi una akili sana...
Nitakupa likes tu mpaka ukome. Ujumbe wangu uleee hukuwahi kunijibu halafu bosi wako akanijia juu eti kakupa mtaji hataki mchezo. Anyway kamata likes tu kwa sababu hakuna namna!Likes
[emoji1] [emoji1] [emoji1] ebu like tena hapa..Maisha ndo hayahaya tuMimi sifahamu.
We kula like tu