moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Nzuri, karibu tena tukimbizeHabar za jion wana jukwaaa
Nzuri, karibu tena tukimbizeHabar za jion wana jukwaaa
Mnawasilianaje sasa? Umeshamlipa nauli?Daladala jamaa kondakta bubuu
Nakurudishiahiyo hapo mwana...kwako tu
Kula hiyoNimeshanyesha likes mpaka shingo inauma
Majambazi(? )wameshafanya yaoKibiti kuna nini huko?
Dah! Umenichekesha sana!Hadi nikute kibao kinasema NO Likes
Kibiti hekima, mbinu na mikakati vinahitajika. Rip askari wetukibiti on air fire.....
Hahaha nicheke tu
Kama ni kweli ni jambo jema. Tatizo wanasiasa hawaaminiki!