Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mchungaji mmoja Sauzi huko ametoa kali ya mwaka kwa kufanya mapenzi na muumini wake baada ya kumbatiza. Kitendo hicho kilifanyika mbele ya waumini wengine kwa ahadi kwamba mama huyo angepata miujiza ikiwa ni pamoja na kupata mtoto.

Ndiyo hali ya dunia yetu ilipofikia. Ukienda huko makanisani utawaona akina mama wengi wakihangaika kutafuta miujiza ya waume, watoto n.k. Wengine wanahadaiwa mpaka ndoa zao zinavunjika na hata kuuza kila kitu na kutoa sadaka. Kumbe wangesoma neno wenyewe na kuelewa kinachoendelea wala wasingehangaika kuhama kanisa hili kwenda lingine kutafuta miujiza. Inasikitisha !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…