Kweli kweli kaziniKazi kweli kweli
HahahahahaAfu raia bana
Hospitali za serikali hamzitaki
Shule za serikali hamzitaki
Usafiri wa uda hamtaki
Lakini ajira za serikali sasa..nafasi 3 mnaomba watu 20,000
Hahahahacarbamazepine huwa naogopa kukuita carba usije ukanicarba bure[emoji23] [emoji23] [emoji23]
HaposaKweli kweli kazini
Asili flaniKwanini wakimbie