Za masiku@ho ch minh mzee wa fursa
Kwanini wakimbieMaana watu wanakimbilia huko
Teh teh teh nashukuru kwa kunikamata. [emoji23] [emoji23] [emoji23]Napenda sana wanawake wenye mizigo mikubwa.......
Coz ukienda kuwapokea lazima wakupe hata jero ya soda
wewe waza tu ujinga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] baba viv....Mungu ni mwema sana atakujaalia cha muhimu ni kumuomba kwa ImaniIngekua mtu anaamua basi ningemletea viv wadogo mapacha[emoji23] [emoji23] [emoji23]