Wasaidie na wenzio
Dada. Sisi tunapenda kuangalia tu yakiwa yanapita yanabingirishwa. Si zaidi ya hapo. Tunajaribu sana kupambana na hali yetu !!!Yaan ww na kaka shimba kumbe lenu moja, ndio maana kila nikitaka kukuacha kaka anakataa.
Hata usimsingizie kakaako,kwa jinsi anavyoidai balance ya mahari bila staha!!!Yaan ww na kaka shimba kumbe lenu moja, ndio maana kila nikitaka kukuacha kaka anakataa.
Sawa kaka ila angalia usije kunikimbizia huyu mzee wa makinikia hahahah.Dada. Sisi tunapenda kuangalia tu yakiwa yanapita yanabingirishwa. Si zaidi ya hapo. Tunajaribu sana kupambana na hali yetu !!!
Ndio na mimi nataka nimuulize hivyo hivyo.... Asinichanganye mimiKwhy na ww umekubali kumilikiwa?
Eeenheee kweli halafu unamalizia lini?Hata usimsingizie kakaako,kwa jinsi anavyoidai balance ya mahari bila staha!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mume kakubali kumilikiwa na mchepuko. Kazi ipooo !!!Kwhy na ww umekubali kumilikiwa?
Hahahhaha yaan kuna majibu hata km una hasira inabidi ucheke tu, dah basi bhanaNdio na mimi nataka nimuulize hivyo hivyo.... Asinichanganye mimi
Mlongeeeeeeee. Habari hizi zikienea mti huu utakuwa extinct.
Yaan si kidogo, kwa huyu shemeji yako walah nina kazi ya ziada. Milonge hiyo ndio imeleta yote haya.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mume kakubali kumilikiwa na mchepuko. Kazi ipooo !!!
Sijaufanyia eksiperimenti,nitakapo kuja huko nitajua nina lima shamba ukubwa gani pindi nikiutumia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wasaidie na wenzio
Kweli kabisa,jambo lililo jema kwa hata kutamani...walaaaah!!!Dada. Sisi tunapenda kuangalia tu yakiwa yanapita yanabingirishwa. Si zaidi ya hapo. Tunajaribu sana kupambana na hali yetu !!!
Hahahahha mbona carba alisema tayari ushafanya eksperiment nae.Sijaufanyia eksiperimenti,nitakapo kuja huko nitajua nina lima shamba ukubwa gani pindi nikiutumia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nina karibu miezi mitatu sijakumbushia ile mahari uliyotudhulumu. Kuna mambo mengine ya kimila huyajui kuhusu hii ishu ya kudhulumu mahari. Itakukosti sana huko mbele ya safari !!!Hata usimsingizie kakaako,kwa jinsi anavyoidai balance ya mahari bila staha!!!
Mh,loh! Hata haya huna. Muone kwanzaKweli kabisa,jambo lililo jema kwa hata kutamani...walaaaah!!!
Nitakaa kamati na shemejiEeenheee kweli halafu unamalizia lini?
Hahahah ili iweje na wakati shemeji yako anatakiwa kupokea tu.Nitakaa kamati na shemeji