Ni balaa halafu hapo alipo ni mme wa mtu.Mbavu zangu walahi!
Uwiii
Post zenu kiboko!
Ni balaa halafu hapo alipo ni mme wa mtu.Mbavu zangu walahi!
Uwiii
Post zenu kiboko!
Afadhali. Ila huyu Mnyakyusa ni pasua kichwa aisee. Ishu kibao dah !!!Matumaini yapo tena makubwa tu kaka,kaa mkao wa kula.
Hahahha nawaona nawaona mjueUnataka hata kwenye mahari uliyotudhulumu nikutetee? Huko nimekutetea kwa vile tuna "tatizo" linalofanana. Jipange umalizie hiyo mahari...Na ni wewe uliyechokonoa hii ishu
Yaan kaka we acha tu, nakoma na hii ndoa ila ndio sibanduki ng'ooo.Afadhali. Ila huyu Mnyakyusa ni pasua kichwa aisee. Ishu kibao dah !!!
Sema kiongozi
Muulize mkeo akujulishe nini huwa kinatokea kwa mwanaume aliyegoma kumalizia mahari hasa akipatwa na matatizo ya kifamilia? Malizia tu kama una morals shemeji...Shemeji tunatishana sasa
Karibu drKila binadamu ameumbwa na kiu ya kufanikiwa katika kila kitu anachofanya. Mafanikio ndio kilele cha mlima mkubwa wa maisha ambao umejengwa kwa misingi na ngazi za mihangaiko na mitihani ambayo unapaswa kuivuka ili upumzike kwenye kilele hicho.
Hahaa thank uKaribu dr
Naomba kuongea na wewe private. .Kila binadamu ameumbwa na kiu ya kufanikiwa katika kila kitu anachofanya. Mafanikio ndio kilele cha mlima mkubwa wa maisha ambao umejengwa kwa misingi na ngazi za mihangaiko na mitihani ambayo unapaswa kuivuka ili upumzike kwenye kilele hicho.
Ye muache tu ajidai dai hapa, siku yakimfika ataisoma nambaMuulize mkeo akujulishe nini huwa kinatokea kwa mwanaume aliyegoma kumalizia mahari hasa akipatwa na matatizo ya kifamilia? Malizia tu kama una morals shemeji...
Sio mimi nimelianzisha,acha tu nilipe hili deni[emoji243] [emoji233] [emoji243] [emoji233] [emoji243] [emoji233] [emoji243] [emoji233] [emoji243] [emoji233] [emoji243] [emoji233] [emoji243] [emoji233] [emoji233]Unataka hata kwenye mahari uliyotudhulumu nikutetee? Huko nimekutetea kwa vile tuna "tatizo" linalofanana. Jipange umalizie hiyo mahari...Na ni wewe uliyechokonoa hii ishu
Fresh tu