Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Nipo mkuu. Kwema lakini? Kule Makapuku mnasemaje?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jiandae kula makande kufidia mahariHahahh na kafaini kapo utakakuta.
HahaaMama mlonge karuka futi mia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji124] [emoji124] [emoji124] duhhh!! Shemeji nimempataMuulize mkeo akujulishe nini huwa kinatokea kwa mwanaume aliyegoma kumalizia mahari hasa akipatwa na matatizo ya kifamilia? Malizia tu kama una morals shemeji...
Sijui hata umefikiria nini. Binadamu mara nyingi tunatumia madaraka yetu vibaya na hata hatukai na kufikiri kuwa wanyama hawa nao wanahisi maumivu.Hakuna mnyama ninayemuonea huruma kama ng'ombe wa mnadani aiseee wanatandikwa fimbo mpaka alama zinatokea
UwiiiNimefumaniwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaha umekuja na mikwara eti[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jiandae kula makande kufidia mahari
Nakuangalia tu[emoji102]Fresh tu
Usimjali huyo, ni nyuki wa mashineniYaan kwakweli mm hapa ndio nshafika. Acha aruke tu ila najua mwisho wa siku atarudi home.
Cc carba, popote ulipo.
Kwhy unataka shemeji awe upande wako hata kwa mambo ya kifamilia.[emoji124] [emoji124] [emoji124] duhhh!! Shemeji nimempata
Yaan huo ndo ukweli hebu sambaza tuone na sie toa nying zaidiMimi huku mgeni, mbona coment zote zina like5 tu au ndo kikomo cha likes huku jf?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shemejiiNg'ombe gani hawa wana vichwa vikubwa na viuno vyembamba kama madume ya siafu? Umewatoa wapi hawa? Watastahimili hali ya hewa ya Shinyanga? Wanaweza kulima? Utoaji wao wa maziwa ukoje?
Tuite tuje tuchague wenyewe siyo hawa vimeo umewafanyia genetic modification waje watudhuru. Ushindwe na ulegee !!!
Hahaha dahUsimjali huyo, ni nyuki wa mashineni
AMUN RA16:44
Hahaha[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kesi kwa Numbisa maana ndiye chanzo humu