andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Halafu wanaopigwa sana hawana kosa lolote,usumbufu wa ng'ombe mbele au katikati adhabu wanaambulia walio karibu na mchungaji.Umewaza mbali sanaHakuna mnyama ninayemuonea huruma kama ng'ombe wa mnadani aiseee wanatandikwa fimbo mpaka alama zinatokea