Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Maweeee !!!Hahahahha mbona carba alisema tayari ushafanya eksperiment nae.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kesi kwa Numbisa maana ndiye chanzo humuMlongeeeeeeee. Habari hizi zikienea mti huu utakuwa extinct.
Babu wa Loliondo kidogo amalize kabisa ile miti aliyokuwa akifanyia utapeli wake. Na milonge itakuwa hatarini !!
Yataisha tu mama.Sitamkubalia hata akinilazimishaHahahhaha yaan kuna majibu hata km una hasira inabidi ucheke tu, dah basi bhana
Hahahaha
Kumbe bado angalau kuna matumaini ya kuzipata zile ng'ombe zetu. Asante shemeji...Nitakaa kamati na shemeji
Weeee muongo yuleeee hata usimuamini.Ningekuambia mbona[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahha mbona carba alisema tayari ushafanya eksperiment nae.
Kuna evidence kuwa unafanya kazi? Kwa sababu hizi tiba mbadala nazo zina changamoto zake...[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kesi kwa Numbisa maana ndiye chanzo humu
Shemeji tunatishana sasaNina karibu miezi mitatu sijakumbushia ile mahari uliyotudhulumu. Kuna mambo mengine ya kimila huyajui kuhusu hii ishu ya kudhulumu mahari. Itakukosti sana huko mbele ya safari !!!
Shemejiiiii....Maweeee !!!
Matumaini yapo tena makubwa tu kaka,kaa mkao wa kula.Kumbe bado angalau kuna matumaini ya kuzipata zile ng'ombe zetu. Asante shemeji...
Ngoja aje hapa, uone atakavyosemaWeeee muongo yuleeee hata usimuamini.Ningekuambia mbona[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mimi na wewe tena??? Kwenye mambo yetu yale umekuwa mtetezi wanguKumbe bado angalau kuna matumaini ya kuzipata zile ng'ombe zetu. Asante shemeji...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaha
Haki ya Mola wangu walahi
Ni huko Kenya. Imevujisha picha chafu wazi kabisa bila chenga. Wanaijeria wanafaudu. Dunia hii ni shida !!!
Shimba hii kitu uliiachia jana,jamaniiiii!!!!
Mbavu zangu walahi![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sio kutishana, changamka kulipa. Achana na mambo ya carba hahahahShemeji tunatishana sasa
Hayo mambo ilikuwa awamu iliyo pita,sidhani kama kuna watu bado wana tenga fungu kwa ajili upuzi huo awamu hiiKuna evidence kuwa unafanya kazi? Kwa sababu hizi tiba mbadala nazo zina changamoto zake...
Hahahh na kafaini kapo utakakuta.Mimi na wewe tena??? Kwenye mambo yetu yale umekuwa mtetezi wangu
Unataka hata kwenye mahari uliyotudhulumu nikutetee? Huko nimekutetea kwa vile tuna "tatizo" linalofanana. Jipange umalizie hiyo mahari...Na ni wewe uliyechokonoa hii ishuMimi na wewe tena??? Kwenye mambo yetu yale umekuwa mtetezi wangu