[emoji4][emoji4][emoji4]Shukran carba
Hebu nikuulize hujamwona shemeji yako pande hizi??Mama tena ushakanwa, kaa kando tupe nafasi.
Basi mfikishie salamu zangu kama hutaki namfata mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23]
Cole nilimuona, alikuja kututambulisha mama mjengo mwingine. Sijui utapigwa chini na huko?Hebu nikuulize hujamwona shemeji yako pande hizi??
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Cole ukuje hukuuuuuuuCole nilimuona, alikuja kututambulisha mama mjengo mwingine. Sijui utapigwa chini na huko?
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Bangi si mchicha