Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Shemeji yangu hujambo? Jana nzima hujaonekana hapa. Nadhani ni mambo ya netiweki au majukumu. Tulikuwepo hapa na akina Andjul na Nsamaka tukiteta. Na bila wewe kuwepo pamoja na KK, kulipwaya sana. Nafurahi kukuona!
Sijambo shemeji,nimerudi tena kwenye familia yangu yenye upendo
Habari yako lakin?vipi hali ya mzazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…