BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Hutafanya mzee wa Tukuyu aamke usingizini [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] acha nikamuamshe Dk Numbisa anipe fomyula ya kuhangaika na haya mashamba makubwa kwa ufanisi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] mwe mwe mweeee....
Unabukua niniNondo za night kali zishaanza kushushwa!
Ndio mida yake watoto wamelala sema namuona under 18 yegomasika huyu Mtoto mkorofi kweliNi siri yetu usiku huu wa manane. Yote ni kwa hisani ya Mzee wetu wa Tukuyu. Na kama kuna mtu yanamkwaza haya mambo aseme niyafute mara moja...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yote haya mambo ya mida ya wanga yamewajia kwa udhamini wa Mzee na shemeji yangu kutoka Tukuyu.
![]()
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yule binti wa Kenya alitembea na bango akitafuta mume kapata mzungu sasa naona huyu jamaa naye kaamua kujaribu bahati yake !!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
![]()
Mama AFRICA