Usingizi wangu umekatika kaa.... Sijui kwanini niliyawekea alarm mapicha haya??? Yegomasika wewe ni andaeitini umeng'ang'ana kuwaangalia aunt zako!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hiki kizazi sijui[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nondo za night kali zishaanza kushushwa!
Mama TANZANIA
Weeee ufute ili?Ni siri yetu usiku huu wa manane. Yote ni kwa hisani ya Mzee wetu wa Tukuyu. Na kama kuna mtu yanamkwaza haya mambo aseme niyafute mara moja...
Fanya yako
Likes for likes
Ahsante kwa kunianzishia siku kwa kuyapiga mswaki macho yangu.Naahidi nitamtunza dadaako kwa upendo sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Habari ya majukumu brother, koromije wanaendeleaje?Yote haya mambo ya mida ya wanga yamewajia kwa udhamini wa Mzee na shemeji yangu kutoka Tukuyu.
Utani huu