Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Kwema kabisa brother.Kwema ndugu?
CantstopwontStop
AMUN RAAMUR NA.
Indeed
Nipo hapa kijijini si unajua nyumbani ni nyumbaniKwema kabisa brother.
Nakuona
Mida ya wangamoudgulf mzee wa wanga
Safi tu!Happy Saturday.... za asubuhi kk
Tangazo lipi
Tangazo lipi
Mida ya wanga kwa wangaMida ya wanga
Ukisema wanga noma [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Tuishi Na kumwabudu yeye hatuna chochote cha kumlipa zaidiMy ndugu Asubuhi iko powa tumepewa zawadi ya kuishi basi Tuishi.
CantstopwontStop
Tunashukuru kwa siku nyingine tena Boss wangu.Kichwa habari za asbh mkuu
Ajaonekana Siku nyingi labda kitabu kimenoga Leo kuna EPL atakuja nadhani
Maana si kwa speed hii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Investment za hatari
CantstopwontStop
TeheteheWadhamini hadi post yako