Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

10.Juisi ya ndimu
Juisi ya ndimu ina antiseptic na ni antifungal pia.Citric acid iliyomo kwenye ndimu husaidia kumaliza fangasi za kucha na kutoambukiza.Chukua juisi fresh ya ndimu na pakaa direct sehemu yenye fangasi na uache kwa dakika 10 kabla ya kusuuza na maji ya uvuguvugu.Tiba hii irudiwe kila siku kwa muda wa mwezi mmoja mpaka uone matokeo mazuri.Njia nyingine changanya juisi ya ndimu sawasawa na olive oil na tumia mchanganyiko huo kusugulia au massage sehemu yenye fangasi.Olive oil itafanya ngozi yako kuwa laini na juisi ya ndimu itasaidia kuzuia madhara ya fangasi.
Kwa hizo tiba za asili hapo juu za kutibu fangasi ya kucha,matokeo yake hutegemeana na juhudi ya kuzitumia hizo dawa.Itumike kwa muda wa kuanzia mwezi na kuendelea ndipo utapoona matokeo mazuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…